Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kamishna Sabas Akutana na Kikosi Maalum cha Kupambana na Uhalifu
Mar 30, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51895" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika operesheni ya kuimarisha ulinzi katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji baada ya nchi hiyo kuvamiwa kwa kambi za Jeshi na vituo vya Polisi pamoja na Mabenki nchini Msumbiji siku ya tarehe 23/03/2020.[/caption] [caption id="attachment_51896" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akiwatia moyo Askari waliopangwa kufanya doria maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mtwara baada ya kutokea kwa uvamizi wa vituo vya Polisi, Kambi za Jeshi na Mabenki huko nchini Msumbiji.[/caption] [caption id="attachment_51897" align="aligncenter" width="750"] Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwa ajili ya kuimarisha ulinzi katika mipaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi