Faru Fausta mwenye umri wa miaka 54 ambaye ni faru kikongwe kuliko wote nchini, anahitaji matunzo mazuri ili aendelee kuvuta watalii na wanasayansi kutoka kila pembe ya dunia.
[caption id="attachment_27797" align="aligncenter" width="750"] Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Freddy Manongi akizungumza jana kwenye kikao cha Majumuisho na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii mara baada ya kukamilisha ziara ya kutembelea Bonde la Ngorongoro na Makumbusho ya Olduvai Gorge[/caption]