Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Jeshi la Zimamoto Lafanikiwa Kuzima Moto Jijini Dar es Salaam
Jun 28, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_4630" align="aligncenter" width="750"] Watanzania wenye asili ya kihindi wakiwa kwenye kifaa kinachotumika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam, kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.[/caption] [caption id="attachment_4631" align="aligncenter" width="750"] Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa katika shughuli za uzimaji moto baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam,kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. [/caption] [caption id="attachment_4633" align="aligncenter" width="750"] Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakijiandaa kupokea waathirika wa janga la moto katika shughuli za uzimaji moto baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam,kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.[/caption] [caption id="attachment_4636" align="aligncenter" width="680"] Jengo la ghorofa 12 lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi lililoshika moto na kufanikiwa kuzimwa na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,leo jijini Dar es Salaam. [/caption] [caption id="attachment_4637" align="aligncenter" width="680"] Kifaa kinachotumika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuzima moto,kuokolea watu na mali kwenye majengo marefu, kikisaidia uokoaji katika jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam, baada ya kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.(Picha na: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji )[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi