Habari Katika Picha : Rais wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, azungumza na wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani
Oct 08, 2026
Rais wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akizungumza na wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani katika mdahalo kuhusu afya ya mama na mtoto ulioandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa wabunge wa IPU, Oktoba 08, 2026, katika Kituo cha Mikutano AICC, Arusha.
Ametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kushirikiana katika kuimarisha afya na ustawi wa wanawake, watoto na vijana ili kuchochea maendeleo endelevu katika nchi hizo.
Na
Administrator