Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Mwakyembe Azindua Tuzo za Filamu za Sinema Zetu
Oct 10, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_18100" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Tido Mhando na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo[/caption] [caption id="attachment_18103" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Balozi wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) Bi. Elizabeth Michael alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa tuzo hizo jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili.[/caption] [caption id="attachment_18106" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akipongezana na Mtendaji Mkuu wa Azam Media Tido Mhando mara baada ya kuzindua rasmi Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili.[/caption] [caption id="attachment_18109" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Msanii wa Bongo movie Jackline Wolper walipokutana katika hafla ya uzinduzi wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili. Katikati ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFFA) Simon Mwakifamba.[/caption] [caption id="attachment_18112" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Mratibu wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) Bi. Zamaradi Nzowa wakati wa hafla ya uzinduzi wa tuzo hizo jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili. Katikati ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFFA) Simon Mwakifamba.[/caption] [caption id="attachment_18115" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya baadhi ya wasanii akiwemo Hemed a.k.a PhD na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFFA) Simon Mwakifamba (kulia), kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) jana jijini Dar es Salaam. (Picha na: Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi