Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt Kalemani Apiga Marufuku Uagizaji wa Nguzo, Nyaya na Transfoma Nje ya Nchi.
Jul 03, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5164" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa kwanza kushoto) akiwa katika kikao na watendaji wa TANESCO, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na wazalishaji wa nguzo za umeme, transfoma na nyaya za umeme kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.[/caption]   [caption id="attachment_5161" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wazalishaji wa nguzo za umeme, transfoma na nyaya za umeme wakiwa katika kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam ambacho kiliongozwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi