[caption id="" align="aligncenter" width="1000"]
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Kanda ya Kati (CPC) leo Mjini ambapo aliwasisitiza kuwakumbusha wanachama wao kuzingatia maadili katika utendaji kazi.[/caption]
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Kanda ya Kati (CPC) leo Mjini Dodoma.[/caption]