Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dk.Shein Akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar na uongozi wa Wizara Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira
Jul 03, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5212" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) alipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu mjini Unguja leo katika kikao cha siku moja cha uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira na uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA).[/caption] [caption id="attachment_5215" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Viongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) wakiwa katika kikao cha siku moja, kilichozungumzia masuala mbalimbali yanayoihusu taasisi hiyo, ambacho kiliwahusisha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu mjini Unguja leo.[/caption] [caption id="attachment_5216" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji na Nishati Zanzibar (ZAWA) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.[/caption] [caption id="attachment_5217" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji na Nishati Zanzibar (ZAWA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kilichowashirikisha pia uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira. (Picha na: Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi