Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

CRDB yaichangia JKCI Milioni 50 Upasuaji wa Moyo
Apr 30, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_52377" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki ya CRDB Tully Mwambapa akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo hadi sasa imechangia milioni 100.[/caption] [caption id="attachment_52378" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa amenyanyua mkono ikiwa ni ishara ya kumshukuru Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki ya CRDB Tully Mwambapa mara baada ya kumkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo hadi sasa imechangia shilingi milioni 100.[/caption] [caption id="attachment_52379" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki ya CRDB Tully Mwambapa akizungumza na menejimenti ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kabla ya kukabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo hadi sasa imechangia shilingi milioni 100.[/caption] [caption id="attachment_52380" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiushukuru uongozi wa benki ya CRDB kwa mchango wao wa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo hadi sasa imechangia shilingi milioni 100. Picha na JKCI[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi