Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Chaneli Mpya ya Filamu za Kiswahili Kuzinduliwa Jijini Dar
Nov 08, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22032" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akizungumza katika mahojiano maalum ikiwa nisehemu ya maandalizi ya Kipindi cha Amka Badilika kitakacho kuwa kinarusha hewani na Chaneli mpya ya Filamu za Kiswahili za Tanzania ya JTV hivi karibuni. Kushoto ni Mtangazaji wa kipindi hicho Saitus Mtimbe.[/caption] [caption id="attachment_22033" align="aligncenter" width="750"] Mtangazaji wa Kipindi cha Amka Badilika kitakachokuwa kikirushwa hewani kupitia chaneli mpya ya TV ya JTV Bw. Saitus Mtimbe akimuuliza swali Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akizungumza katika mahojiano maalum ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kipindi hicho jana jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_22034" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akiagana na Mtangazaji wa Kipindi cha Amka Badilika kitakachokuwa kikirushwa hewani kupitia chaneli mpya ya TV ya JTV Bw. Saitus Mtimbe mara baada ya kumaliza mahojiano maalum ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Kipindi hicho jana Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_22035" align="aligncenter" width="699"] Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akimsikiliza, Mtangazaji wa Kipindi cha Amka Badilika kitakachokuwa kikirushwa hewani kupitia chaneli mpya ya TV ya JTV Bw. Saitus Mtimbe mara baada ya kumaliza mahojiano maalum ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Kipindi hicho jana Jijini Dar es Salaam. (Picha na: MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi