Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Bungeni: Matukio ya Waziri Mkuu katika Picha
Apr 18, 2024
Bungeni: Matukio ya Waziri Mkuu katika Picha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais- Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete (wa pili kushoto), Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande (wa tatu kushoto), Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange (kulia) na Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi