[caption id="attachment_52131" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.[/caption]
[caption id="attachment_52132" align="aligncenter" width="750"]
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo, akichangia mada Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.[/caption]
[caption id="attachment_52133" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.[/caption]
[caption id="attachment_52134" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kijitoupele, Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.[/caption]
[caption id="attachment_52135" align="aligncenter" width="750"]
Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara, akichangia mada, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.[/caption]