[caption id="attachment_24447" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Hemedi Mgaza ( wa pili kushoto) pamoja na Madaktari bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto wa JKCI na Taasisi ya Little Hearts ya nchini Saudi Arabia. Mhe. Balozi Mgaza alitembelea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuangalia maandalizi ya kambi ya upasuaji wa Moyo kwa watoto na watu wazima inayotarajia kuanza siku ya jumapili tarehe 10/12/2017.[/caption]
[caption id="attachment_24448" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Hemedi Mgaza (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Madaktari bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto Naiz Majani na Ali Al-Akhfash wa Taasisi ya Little Hearts ya nchini Saudi Arabia mara baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea JKCI kwa ajili ya kuangalia maandalizi ya kambi ya upasuaji wa Moyo kwa watoto na watu wazima inayotarajia kuanza siku ya jumapili tarehe 10/12/2017. Jumla ya wagonjwa 80 wanatarajia kufanyiwa upasuaji wa kufungua na bila kufungua kifua katika kambi hiyo.
Picha na JKCI[/caption]