Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi awasilisha hati za utambulisho kwa Baba Mtakatifu Papa Francis, Vatican
May 18, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_32009" align="aligncenter" width="750"] Balozi Dkt. Possi akikabidhi hati za utambulisho kama Balozi wa Tanzania Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis.[/caption] [caption id="attachment_32010" align="aligncenter" width="750"] Balozi Dkt. Possi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Vatican Kardinali Pietro Parolin.[/caption] [caption id="attachment_32011" align="aligncenter" width="750"] Balozi Dkt. Possi katika picha ya pamoja na Baba Mtakatifu Papa Francis. Wengine ni Afisa wa Ubalozi Bw. Abdul Mhinte, na Mama Balozi, Bi. Sada Mshana.[/caption] [caption id="attachment_32012" align="aligncenter" width="684"] Balozi Dkt. Possi na Mama Balozi, Bi. Sada Mshana, katika picha ya pamoja na Baba Mtakatifu Papa Francis[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi