[caption id="attachment_45337" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Tuta la Sehemu inapojengwa Chelezo kubwa yenye uzito wa Tani 4000 kwa ajili ya Ujenzi wa Meli mpya kubwa na ya kisasa itakayohudumu katika Ziwa Victoria kutoka Mwanza kwenda Bukoba, Kisumu(Kenya) na Jinja nchini Uganda.[/caption] [caption id="attachment_45338" align="aligncenter" width="750"] Meli ya MV Victoria inayotoa huduma katika Ziwa Victoria ikiwa katika ukarabati mkubwa. Ukarabati huo unatarajiwa kukamilika mwakani mwezi wa tatu na Mashine Engine zake mpya zinatarajiwa kuwasili hivi karibuni.[/caption] [caption id="attachment_45340" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo katika eneo la tuta la ujenzi wa Chelezo ya kujengea Meli hio kubwa na ya kisasa.[/caption] [caption id="attachment_45345" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Meli ya MV Victoria ambayo inafanyiwa ukarabati mkubwa katika eneo la Bandari ya Mwanza South.[/caption]