Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na kijana mnufaika wa fani ya ufundi Cherehani, Honolina Mayondi wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya wananufaika na programu ya Taifa ya kukuza ujuzi inayotekelezwa na Ofisi hiyo, katika Chuo cha Ufundi Stadi cha Nyamidaho VTC Kasulu, mkoani Kigoma.
Na: Mwandishi Wetu – Kasulu, KIGOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewataka vijana kuchangamki...
Read More