Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akifurahia jambo na kijana mnufaika wa fani ya ufundi Uashi, Grace William wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya wananufaika na programu ya Taifa ya kukuza ujuzi inayotekelezwa na Ofisi hiyo, katika Chuo cha Ufundi Stadi VETA, mkoani Kigoma.
Na: Mwandishi Wetu – KIGOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewataka wasicha...
Read More