Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Nne la Kimataifa la Nishati Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere mkoani Dar es salaam, Agosti 3, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, January Makamba katika Kongamano la Nne la Kimataifa la Nishati Tanzania alilolifungua kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere mkoani Dar es salaam, Agosti 3, 2022.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Nne la Kimataifa la Nishati Tanzania wakimsikil...
Read More