Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Balozi, Mhandisi. Aisha Amour akitoa maelekezo kwa Mshauri mwelekezi wa Mradi wa Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, Mhandisi Shegan Berharie, wakati Katibu Mkuu huyo alipokuwa akikagua maendeleo ya mradi huo, jijini Dodoma.
Read More