Na. Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewatahadharisha watu wote wenye tabia ya kutoa matamshi ya kichochezi nchini kuacha mara moja kwani Serikali itawashughulikia ipasavyo bila kujali bila ya kujali nyadhifa zao.
Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo wakati wa ibada ya mazishi ya mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Bibi Linnah Mwakyembe iliyofanyika wilayani Kyela mkoa wa Mbeya.
Waziri Mkuu alisema ni vema watu wakawa makini na kijiepusha kutoa m...
Read More