Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Bi. Ziada Sellah akizungumza wakati akizindua zoezi la uchangiaji damu leo Oktoba 03, 2023 jijini Dodoma ikiwa ni moja ya tukio lililoandaliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuelekea Jukwaa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali litakaofanyika jijini humo Oktoba 05,
Read More