Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Zainab Chaula akisaini Kitabu cha Wageni katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha. Kulia ni Kaimu Katibu Tawala, Emmanuel Joseph Mhando.
Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro wakishuhudia jambo kupitia simu ya mkononi ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Zainab Chaula (mwenye ushungi mweusi) alipokuwa wakiwaeleza umuhimu wa kutekeleza miradi yenye kuleta matokeo chanya. ...
Read More