Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa akiendela na kikao na Viongozi mbalimbali wa BMT, TFF na Mkurugenzi wa Michezo, Jijini Dar es Salaam Agositi 25, 2021
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa leo, Agosti 25, 2021 amekutana na viongozi wa Baraza la Michezo la Taifa, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Mkurugenzi wa Michezo, jijini Dar es Salam kujadili namna bora ya kutatua changamoto mbalimbali katika mchezo wa soka nchini.Kikao hicho ni sehemu ya utekelezaji wa...
Read More