Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipiga ngoma aliyokabidhiwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye kama zawadi Ikulu Bujumbura Burundi leo Julai 16,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye pamoja na Mkewe baada ya kuhudhuria Dhifa ya Jioni iliyoandaliwa na Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi Ikulu Bujumbura Burundi leo Julai 16,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. S...
Read More