Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Fundi Mkuu wa ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kipoka wilayani Chunya, Stephen Mpagazi (kulia) wakati alipokagua ujenzi huo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mbeya Novemba 29, 2021. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mbeya, Mchungaji Jacob Mwakasole na wa pili kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kipoka Simon Shimwela.
Muonekano wa kipande cha barabara ya Chunya - Makongorosi yenye urefu wa Kilomita 39 ambao unatarajiwa kuka...
Read More