Na Pius Ntiga, Dodoma.
Katika kipindi cha miaka mitano cha Serikali ya Awamu ya Tano, Ofisi ya Rais-TAMISEMI imeratibu wananchi katika kuboresha miondombinu ya kutolea Huduma ya Afya kwa kujenga na kukarabati zahanati 1,198, vituo vya afya 487 na hospitali 99 katika Halmashauri ambazo hazikuwa na hospitali.
Mafanikio hayo makubwa yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Seleman Jafo katika mahojiano maalumu na kikosi Kazi cha Amsha Amsha Dodoma cha Uhuru FM leo Jijini Dodoma wakati akiainisha mafanikio ya ofisi kwa miaka mi...
Read More