[caption id="attachment_50463" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga semina ya Viongozi wa Dola katika Usimamizi na Udhibiti wa Rasilimali Madini kwenye ukumbi wa St. Gaspar jijini Dodoma, Januari 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Aipongeza Wizara ya Madini[/caption]
Asteria Muhozya, Greyson Mwase Tito Mselem, Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amevitaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuimarisha mshikamano ili mwenendo wa usimamizi wa rasilimali mad...
Read More