Veronica Simba – Dodoma
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini awamu ya tatu mzunguko wa kwanza na kuwapa maagizo mazito yanayolenga kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati na viwango stahiki.
Mkutano huo uliofanyika, Januari 29, 2020 jijini Dodoma, ulihudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara husika, Mhandisi Leonard Masanja, Bodi za Wakurugenzi na Menejimenti za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) pam...
Read More