[caption id="attachment_43801" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Malawi, Bw. Ben Botolo wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chileka uliopo Blantyre nchini Malawi kuwakilisha, Rais Dkt John Pombe Magufuli katika sherehe za kumwapisha Rais wa Malawi, Profesa, Arthur Peter Mutharika, Mei 31, 2019.[/caption]
[caption id="attachment_43802" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara...
Read More