[caption id="attachment_40365" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akisalimiana na baadhi ya wadau wa sekta ya mafuta nchini, alipowasili katika kikao baina yake na wadau hao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, Februari 10, 2019. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu.[/caption]
Na Veronica Simba – Dar es Salaam
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kamwe Serikali haiwezi kumlazimisha mdau yeyote wa sekta ya mafuta nchini kujiunga na Chama, Jumuiya au Umoja wowote wa kis...
Read More