[caption id="attachment_39378" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Januari 2, 2019.[/caption]
[caption id="attachment_39379" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho wakati walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea kuanza ziara ya kikazi mkoani humo,...
Read More