[caption id="" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isack Kamwelwe kuhusu barabara ya juu ya TAZARA wakati alipokagua hatua za mwisho za ujenzi wa barabara hiyo jijini Dar es salaam Agosti 29, 2018. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.[/caption]
[caption id="attachment_34601" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua hatua za mwisho za ujenzi wa barabara ya juu ya eneo la TAZARA...
Read More