[caption id="attachment_38212" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati alipomwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango katika uzinduzi wa machapisho ya uchambuzi wa bajeti katika sekta ya jamii iliofanyika leo jijini Dodoma.[/caption]
Na Jacquiline Mrisho
Serikali imeweza kufanya tahtmini na kubaini kuwa jitihada zilizofanyika zimeweza kupunguza udumavu na vifo vya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kwa asilimia 50.
Takwimu hizo zimet...