[caption id="attachment_38108" align="aligncenter" width="750"] Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (pichani) akizungumza na Ujumbe kutoka TPSF na Viongozi wa Mahakama (hawapo pichani) ofisini kwake, Mahakama ya Rufani (T) jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Mary Gwera, Mahakama
Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imepanga kuwa na Jukwaa la pamoja kujadili masuala ya msingi ya biashara yenye lengo la kukuza uchumi wa Taifa.
Akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim...