[caption id="attachment_132" align="aligncenter" width="2772"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa (katikati) akisisitiza jambo katika eneo la mradi wa kuzalisha umeme kwa njia ya upepo lililopo Kisesile wilayani Singida Mjini mara kamati hiyo ilipotembelea mradi huo ili kujionea maendeleo yake pamoja na kuzungumza na watendaji wa eneo hilo.[/caption]
[caption id="attachment_131" align="aligncenter" width="2772"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa akitoa maagi...
Read More