[caption id="attachment_7693" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika kilele cha Maazimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani yaliyofanyika leo katika Ofisi ndogo za Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhamad Bakari Kambi na Kulia ni Afisa kutoka kitengo cha magonjwa ya Mlipuko Dkt. Azma Simba.[/caption]
Na: Agness Moshi
Bohari Kuu ya Dawa (MSD) imepunguza gharama ya chanjo...