Usambazaji wa Vifuko Maalum kwa Ajili ya Kujifungua Kutapunguza Vifo kwa Wajawazito
Jovina Bujulu.
Hivi karibuni Serikali itasambaza vifuko maalum 500 kwa ajili ya kuwasaidia wakina mama wajawazito kujifungua salama.
Ahadi hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk Khamis Kigwangall...
May 23, 2017