[caption id="attachment_22816" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Dkt. Detlef Wachter. Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt. Susann...
Read More