Na Veronica Simba – Ulanga
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa wabunifu na kuzitumia vema fursa za kibiashara zinazojitokeza kwa kupeleka umeme katika maeneo mbalimbali yenye wateja wengi wanaohitaji huduma hiyo.
Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Iputi, Kata ya Mbuga, wilayani Ulanga, Naibu Waziri alisisitizia kauli yake hiyo na kuwaagiza Meneja wa Kanda na Mkoa, kuandaa Mradi mdogo unaolenga kuwapelekea umeme wananchi wa eneo hilo mapema iwezekanavyo, kabla hawajafikiwa na...
Read More