Na Judith Mhina-MAELEZO
Wilaya ya Mtwara ndiyo lango linalofungua maendeleo wa uchumi wa Kusini mwa Tanzania kwa kuunganisha mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma ikiwa ni pamoja na nchi jirani za Malawi, Msumbiji na Zambia zitakazowezeshwa kwa sehemu kubwa kusafirisha mizigo yao kwa urahisi kupitia bandari ya Mtwara.
Wilaya hiyo, imejipambanua kutokana na uwepo wa gesi ya asili, ugunduzi wa mafuta kwenye ukanda wa bahari, uwepo wa lango kuu la bandari ya Mtwara na barabara za kiuchumi ikiwemo ya Mtwara-Masasi – Songea, itakayosafirisha madini ya...
Read More