Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa, Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa, Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.
Rais wa Jamhuri...
Read More