Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea moja ya kishkwambi kati ya Vishkwambi 600 kutoka kwa Balozi wa Korea Kusini, Mhe. Kim Sun Pyo vyenye thamani ya Shilingi milioni 202, kwenye kikao cha saba cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 kilichofanyika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Agosti 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa tarehe 23 Agosti ambayo ni siku ya Sensa na Makazi ya Wa...
Read More