[caption id="attachment_233" align="aligncenter" width="630"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizindua rasmi vifaa vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA), 4 Aprili, 2017 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.[/caption]
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amezindua Vifaa vya kufundishia vyenye thamani ya shilling 100 kwa ajili ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa) vitavyowawezesha wanafunzi kujifunza kwa vitendo namna ya kutengeneza picha jongefu...
Read More