Na Mwandishi Wetu
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imetoa mafunzo kwa watumishi wote wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, juu ya alama zinazopatikana katika noti halali za fedha za Tanzania.
Akitoa mafunzo hayo leo kwa wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Afisa Kutoka Benki Kuu ya Tanzania, Rehema Zongo amewafafanulia watumishi hao namna ya kutambua noti halali kwa vitendo huku akisisitiza alama muhimu zinazopatikana katika noti halali ili waweze kutofautisha na zile bandia.
Zongo alisema watumishi wanatakiwa kuichunguza noti halali k...
Read More