Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, kwenye mkutano na waandishi wa habari kuzumgumzia uzinduzi wa Mji wa Serikali- (Mtumba) unaotarajiwa kufanyika Septemba 08, 2026, katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mtaa wa Reli Ngome, jijini Dodoma.
Read More