[caption id="" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha redio Jamii cha Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) chenya masafa ya 92.1 leo Jijini Arusha.[/caption]
[caption id="attachment_29242" align="aligncenter" width="800"] . Waziri wa Habari ,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiangalia mitambo ya kurusha matangazo katika studio za kituo kipya cha redio Jamii cha TBC chenye masafa...
Read More