Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyuzi za mkonge wakati alipotembelea banda la maonesho la kampuni ya AJA Tanzania Limited inayojishugulisha na biashara ya nyuzi za mkonge na bidhaa zake kabla ya kufungua Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Disemba 6, 2023. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Happiness Nyiti na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mwanamama Soko, Dorris Malle.
Read More