[caption id="attachment_31774" align="aligncenter" width="1000"] Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi Jinai na Huduma za Vinasaba, Bw. David Elias (kushoto) akizungumza na washiriki wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wasimamizi wa shughuli za kemikali viwandani na kwenye makampuni yanayojihusisha na shughuli za kemikali katika Ukumbi wa CEEMI, Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameandaliwa na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Mashariki.[/caption]
Na Jacquiline Mrisho.
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA...
Read More