[caption id="attachment_50006" align="aligncenter" width="800"] Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack (Mwenye ushungi wa njano), Katibu Tawala Mkoa Bw. Albert Msovela (mwenye suti nyeusi), Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Jasinta Mboneko na Viongozi wengine wakiwa kwenye moja ya vyumba vya madarasa ya shule ya msingi Mayila ambapo wanafunzi wa darasa la kwanza wameanza masomo yao hapo tarehe 06 Januari, 2020.[/caption]
Shule ya Msingi Mayila iliyopo Wilayani Kahama imefunguliwa rasmi huku wananchi wa wilaya hiyo wakimshukuru Rais wa...
Read More