[caption id="attachment_50628" align="aligncenter" width="900"] Mkurugenzi Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Matamwe akisisitiza umuhimu wa Tathmini ya Uharibifu na Mahitaji Baada ya Maafa kutokea, Jijini Tanga, wakati alipofungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalam wanaohusika na Tathmini ambayo huainisha madhara, hasara za kiuchumi, na gharama za mahitaji ya kurejesha hali baada ya maafa kutokea..Kulia ni Katibu Tawala wa mkoa huo Noel Kazimoto[/caption]
Tathmini ya Uharibifu na Mahitaji Baada ya Maafa, ni mf...
Read More